Breaking News

Darassa ft Marioo – CHANDA CHEMA LYRICS

Download Audio Darassa ft Marioo – CHANDA CHEMA download mp3

Darassa ft Marioo – CHANDA CHEMA LYRICS

Play Online 

Click here to download mp3 Darassa ft Marioo – CHANDA CHEMA LYRICS

Abaaaaah

Verse 1; (Darassa)
Tell me now what you do for the love (What you do for the love)
Give it up, Give it up for the love (Give it up for the love)
Sijali unapakwa ina, Unapaka poda
Fanya mambo yako, nakungoja
Moyo umeshataka, mi nafata order
Huwezi kukata kiu, Maji kwa kisoda

Message sent, Shika kamata
Kama unataka mapenzi, Yako hapa
Mchaka mchaka, Chapa chapa
Wakituona, wanatapatapa
Umeweka kambi maeneo haya
Wanasema ua zuri limeota pabaya
Never die, Never expire
Tusichezee mapenzi ya moto Fire

Chorus; (Marioo)
Na Kama mapenzi safari, Mi kwako nshafika nakokwenda
Au kama bahari, Ohhh basi njifunze kuogelea
Na unge kwa mchezo usiwe kamali, Au kubeba maji kwenye tenga
Leo mbele yako nakula kiapo
Wallahi mie
Sina mwengine tena, Wa kufanya nicheke
Na kama chanda we ndo chema, Cha kuvikwa na pete
Wallahi mie
Sioni mwengine tena, Wa kufanya nicheke
Na kama chanda we ndo chema, Cha kuvikwa na pete
Aaaah.. Mmmmh

Verse 2; (Darassa)
Tell me now what you do for the love (What you do for the love)
Give it up, Give it up for the love (Give it up for the love)
Kwenye miiba nachechemea for my woman
Bahari nitaogelea for my woman
A real man cares for the woman
Na naweza kukosea kama human
Ntakufanyia Changes
Ntakupatia mapenzi
Nitakutungia tenzi
Nikuimbie
Nikusifie, Ujisikie
Uko na mie, Sogea nikwambie
Siwezi acha kiti chako, mtu akalie
Siwezi vunja moyo wako, sitaki uumie
Yes I do, Am telling the truth
My heart, My love, All I give it to you

Chorus; (Marioo)
Na Kama mapenzi safari, Mi kwako nshafika nakokwenda
Au kama bahari, Ohhh basi njifunze kuogelea
Na unge kwa mchezo usiwe kamali, Au kubeba maji kwenye tenga
Leo mbele yako nakula kiapo
Wallahi mie
Sina mwengine tena, Wa kufanya nicheke
Na kama chanda we ndo chema, Cha kuvikwa na pete
Wallahi mie
Sioni mwengine tena, Wa kufanya nicheke
Na kama chanda we ndo chema, Cha kuvikwa na pete
Aaaah.. Mmmmh

Bridge; (Darassa)
Tell me now what you do for the love (What you do for the love)
Give it up, Give it up for the love (Give it up for the love)
Eeeeh
Shika kamata
Yapo hapa
Chapa chapa
Wakituona, wanatapatapa
(The mix killer)
Never die, Never expire
Tusichezee mapenzi ya moto Fire

No comments