Breaking News

Abbah ft Marioo, G Nako, Byter Beast – Chibonge LYRICS


Abbah ft Marioo, G Nako, Byter Beast – Chibonge


Play mp3 Online Abbah ft Marioo, G Nako, Byter Beast – Chibonge

Download new song from Abbah ft Marioo, G Nako, Byter Beast – Chibonge

Click here to download mp3


Abbah ft Marioo, Gnako & Byter Beast – Chibonge LYRICS

Abbah

Marioo
Mhhhh..
Kama kupenda maradhi niko hoi taabani,
Na kama kutangaza nakupenda kosa nifungwe,
Kama kupenda upofu mi sioni na sisikii,
Ndo maana natangaza nakupenda,

We wa mwisho kwa mie sichepuki makonakona,
Na upona niugue ukifika naponapona,
Na rangi yako black mi nakuona white,
We kifupi nyundo nakuonaga mnara,
Nakuona modo mwepesi,

Mhhh.. Aaah..
Japo chi chi chibonge,
Aah chi chi chibonge,
chi chi chibonge,
Aah chi chi chibonge,

Byter Beast
Aah minyama tu,
Akipita minyama,
He, anatinginsha minyama tu,
Vile akipita minyama,
He...
Aah minyama tu,
Akipita minyama,
He, anatinginsha minyama tu,
Vile akipita minyama,
He...
Minyamaaa...

G-Nako
Chibobo chibobo chibo
Mahaba na saa za mototo (motoo...)
Kajaza kajaza kajazia (oo oh...)
Mahug mahag sio kitoto (totoo...)
Ooh mamamia,

Wala sitaki uende jim mtoto (ayee...)
Kumbato lako mama motomoto (ayee...)
Kumbato tototo sotojo jotojo,
Miuno jojojo
Nani alisema vibonge awapigi miuno,

Kibiringi biringi godoro chini utavunja chaga, (eeeei...)
Aya ma skin jinsi we mama yanavoshika mapaja,
Chibonge mama chibonge mtu mbadi,

Marioo
chi chi chibonge
Aaah chi chi chibonge,
chi chi chibonge,
Aaah chi chi chibonge,

chibonge
Aaah chi chi chibonge,
chi chi chibonge
Aaah chi chi chibonge,

Abbah
Hee...
Abbah process magnificent touches, (hey...)
Toto bad in the building, (hey...)
Warawara's in the building, (hey...)
Byter beast we own it,

Byter Beast
Aaah minyama tu,
Akipita minyama,
He, anatinginsha minyama tu,
Vile akipita minyama,
He...
Minyamaaa...

Marioo & G-Nako
Mwenzako mi napendaga vibaya, (ayee...)
Mwenzako na ugonjwa wa moyo, (nani alisema vibonge awapigi miuno)
Mwenzako mi napendaga vibaya, (eei...) (ayee...)
Mwenzako na ugonjwa wa moyo, (chibone chibonge mama mtu mbadi)


:-Prepared by kadohitsNo comments