Breaking News

WEUSI – Ile Saa LYRICS


WEUSI – Ile Saa LYRICS

WEUSI – Ile Saa

Play Online 

Download new song from WEUSI – Ile SaaWEUSI - ILE SAA LYRICS

Joh Makini
Eeh..
Naleta ujuzi kazini na sitaki kazi,
Zidisha ujuzi kazini ufukukuzwe kazi,
Boss ataki uwe boss boss uyoo,
Mdosi ataki uwe mdosi mdosi uyoo,

G-Nako               
Saa mnalala nasima dede, (dede…)
Saa mnapanga Mungu alipanga, (yeye…)
Saa mnalala nasima dede, (dede…)
Saa mnapanga Mungu alipanga, (yeye…)

Eeh…
Si tulipeka rap club bana, (aree…)
Si tulifanya mkasema wanabana, (maree…)
Si tulifanya wakaacha kubana, (cheche…)
Asee apa utapata rap za kufanana, (cheche…)
Na siachi kusubiri kufa kufaana, (Hii…)
Na chuga ni mbegu kali tunazaana, (aii..)
Kananita shivo (ooh) ukileta sizo (ooh) si ni matatizo(ooh)

Joh Makini
Yeah..
A a a don’t sleep oh no no party silali bwana,
Akuna namna namna ni si tutusue bwana,
Ile saa ya kufanya ya maana fanya ya maana,
Ua maupinzani (ua...) zima maushindani (zimaa…)
Zima roho flani (zimaa…),Ua mashetani (ua…),
Si ndo wakanda foreva wanahianya wereva,
Ile saa ulisanda linakuita jeneza,
Nauliza msingi ulimeza ulisau kuvaa unateleza?
Ile saa,                

Naleta ujuzi kazini na sitaki kazi,
Zidisha ujuzi kazini ufukukuzwe kazi,
Boss ataki uwe boss boss uyoo,
Mdosi ataki uwe mdosi mdosi uyoo,

G-Nako               
Saa mnalala nasima dede, (dede…)
Saa mnapanga Mungu alipanga, (yeye…)
Saa mnalala nasima dede, (dede…)
Saa mnapanga Mungu alipanga, (yeye…)

Lord Eyes
Leta umimi na mi naleta umimimi,
Mkileta usiku naleta mwezi mzima mi, (ii..)
Sa mmelala nasimama dede, (dedee..)
Na saa mmekufa nasukuma chepe, (chepe..)
Watoto wa kulea waambie tete,

Watoto wakitaka wacha walete,
Msiposhika hela hamwezi shika adabu,
Mziki wa vijana watu wanakesha kwa babu
Maswali ya Mungu shetani sio jawabu (akosii..)
Mungu akikupa shetani akosi sababu (mikosii..)

Joh Makini
Naleta ujuzi kazini na sitaki kazi,
Zidisha ujuzi kazini ufukukuzwe kazi,
Boss ataki uwe boss boss uyoo,
Mdosi ataki uwe mdosi mdosi uyoo,

G-Nako               
Saa mnalala nasima dede, (dede…)
Saa mnapanga Mungu alipanga, (yeye…)
Saa mnalala nasima dede, (dede…)
Saa mnapanga Mungu alipanga, (yeye…)

Niki wa Pili
Ile saa, ubaya uko mbele wema uko nyuma,
Ile saa, wanga wanazima Mungu anawasha,
Ile taa, boss fisadi anatumbuliwa,
Ule usaa, ndo nyumba aliahidi utanunuliwa,
Hamisaa,
Ni ngumu kupanda kama una marafiki wanaoshuka,
Ni ngumu kuficha kama ulichojamba kinanuka,
Eti weusi vipi nyinyi hizi ngumu mnauza,
Sita huwa tisa juu chini ukigeuzwa,
Mke huwa Malaya kama mume anampuuza,
Ile saa unampa vidonda wengine wanampuliza,
Ile saa, Ile saa.

::- Prepared by kadohits


No comments